Hahaha umetunga lakini!Leo baada ya kutoka kufanya usafi KANISANI, Pastor akaona simu yangu niliyonunua LAKI 5,akaniuliza hiyo simu umenunua Bei gani?
Kwakuwa natoaga sadaka kidogo,na ZAKA ndo sijawahi kutoa,Nikamjibu nimenunua JANA,ELFU 50, akanipa LAKI MOJA,nikanunue mbili,yake na ya mke wake. Sa najaribu kumuuliza
Mungu,kwanini kaamua kuniadhibu mbele ya mchungaji bila hata kunionya!
DHAMBI MOJA HUSABABISHA NA NYINGINELeo baada ya kutoka kufanya usafi KANISANI, Pastor akaona simu yangu niliyonunua LAKI 5,akaniuliza hiyo simu umenunua Bei gani?