Leo baada ya kutoka kufanya usafi kanisani

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253
Leo baada ya kutoka kufanya usafi KANISANI, Pastor akaona simu yangu niliyonunua LAKI 5,akaniuliza hiyo simu umenunua Bei gani?

Kwakuwa natoaga sadaka kidogo,na ZAKA ndo sijawahi kutoa,Nikamjibu nimenunua JANA,ELFU 50, akanipa LAKI MOJA,nikanunue mbili,yake na ya mke wake. Sa najaribu kumuuliza

Mungu,kwanini kaamua kuniadhibu mbele ya mchungaji bila hata kunionya!
 
Joseverest wa thread hii. Ongezea tu laki tisa ukamnunulie mchungaji
 
Leo baada ya kutoka kufanya usafi KANISANI, Pastor akaona simu yangu niliyonunua LAKI 5,akaniuliza hiyo simu umenunua Bei gani?

Kwakuwa natoaga sadaka kidogo,na ZAKA ndo sijawahi kutoa,Nikamjibu nimenunua JANA,ELFU 50, akanipa LAKI MOJA,nikanunue mbili,yake na ya mke wake. Sa najaribu kumuuliza

Mungu,kwanini kaamua kuniadhibu mbele ya mchungaji bila hata kunionya!
Hahaha umetunga lakini!

Sadaka hazikaguliwi bana.
 
Ndiyo ninyi kabla ya kutoa hela unahesabia mfukoni, kwanini hukumwambia ukweli kwamba umenunua kwa laki 5! Hela ni zako kwanini zikutese
 
Leo baada ya kutoka kufanya usafi KANISANI, Pastor akaona simu yangu niliyonunua LAKI 5,akaniuliza hiyo simu umenunua Bei gani?

Kwakuwa natoaga sadaka kidogo,na ZAKA ndo sijawahi kutoa,Nikamjibu nimenunua JANA,ELFU 50, akanipa LAKI MOJA,nikanunue mbili,yake na ya mke wake. Sa najaribu kumuuliza

Mungu,kwanini kaamua kuniadhibu mbele ya mchungaji bila hata kunionya!
DHAMBI MOJA HUSABABISHA NA NYINGINE
1. unaweze kuendeleza dhambi ya uwongo- kamwambie nilikonunua zimeisha mzigo utakuja jamaa akitoka korea tena. na siwezi kaaa na hela yako nitaila. dhambi. kumbuka umeanza na wizi wa ZAKA
2. RUDI katubu dhambi za wizi na uwongo, na uahidi kufanya matengezo- The best option.
 
Nipe namba ya Mchungaji wako ili nimpongeze Haaa haaa Haaa haaa teeeh teeeh teeeh teeeh.

Pumba.fu sana weye kijana.
 
Mwambie nilinunua kwa MTU,dukani laki 6,upate na ya kupoozea kichwa,
 
Back
Top Bottom