Leo channel ipi ya king'amuzi cha azam tv nitaona Uefa leo

wakikosi

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2015
Posts
1,354
Reaction score
1,490
Mke wangu hataki kabisa niende bar kuangalia mechi za UEFA champions league,nikitaka kuondoka huwa ananishutumu kuwa nitaenda kutongaza ma bar maids,nyumbani tuna king'amuzi cha azam,sasa nataka nitulie home ili maisha yawe ya amani.
Lakini sijui channel ipi itaonesha game za leo pale azam tv,mwenye kujua anijuze wakuu
 
Angalia NatGeo Wild wataonyesha live michuano.
 
Mke wangu hataki kabisa niende bar kuangalia mechi za UEFA champions league,nikitaka kuondoka huwa ananishutumu kuwa nitaenda kutongaza ma bar maids,nyumbani tuna king'amuzi cha azam,sasa nataka nitulie home ili maisha yawe ya amani.
Lakini sijui channel ipi itaonesha game za leo pale azam tv,mwenye kujua anijuze wakuu
Mkuu ukipata iyo channel unitag, nami nina shida hiyo hiyo aisee.
 
Mke wangu hataki kabisa niende bar kuangalia mechi za UEFA champions league,nikitaka kuondoka huwa ananishutumu kuwa nitaenda kutongaza ma bar maids,nyumbani tuna king'amuzi cha azam,sasa nataka nitulie home ili maisha yawe ya amani.
Lakini sijui channel ipi itaonesha game za leo pale azam tv,mwenye kujua anijuze wakuu
Nenda na mkeo bar, halftime kajisaidie tumia muda huo kuongea na unayemfuataga(kisukuma) mke hatajua. Lakini uwe makini jamaa atakuwa ameshaomba namba ya simu ya mkeo ukikaa muda mrefu kwa kisingizio cha tumbo kuuma.
 
Back
Top Bottom