wakikosi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,354
- 1,490
Mke wangu hataki kabisa niende bar kuangalia mechi za UEFA champions league,nikitaka kuondoka huwa ananishutumu kuwa nitaenda kutongaza ma bar maids,nyumbani tuna king'amuzi cha azam,sasa nataka nitulie home ili maisha yawe ya amani.
Lakini sijui channel ipi itaonesha game za leo pale azam tv,mwenye kujua anijuze wakuu
Lakini sijui channel ipi itaonesha game za leo pale azam tv,mwenye kujua anijuze wakuu