ananishutumu kuwa nitaenda kutongaza ma bar maids,
Angalia NatGeo Wild wataonyesha live michuano.Mke wangu hataki kabisa niende bar kuangalia mechi za UEFA champions league,nikitaka kuondoka huwa ananishutumu kuwa nitaenda kutongaza ma bar maids,nyumbani tuna king'amuzi cha azam,sasa nataka nitulie home ili maisha yawe ya amani.
Lakini sijui channel ipi itaonesha game za leo pale azam tv,mwenye kujua anijuze wakuu
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Angalia NatGeo Wild wataonyesha live michuano.
DuhAngalia NatGeo Wild wataonyesha live michuano.
Mkuu ukipata iyo channel unitag, nami nina shida hiyo hiyo aisee.Mke wangu hataki kabisa niende bar kuangalia mechi za UEFA champions league,nikitaka kuondoka huwa ananishutumu kuwa nitaenda kutongaza ma bar maids,nyumbani tuna king'amuzi cha azam,sasa nataka nitulie home ili maisha yawe ya amani.
Lakini sijui channel ipi itaonesha game za leo pale azam tv,mwenye kujua anijuze wakuu
KTN huwa wanaonyeshaga mechi za J5Azam hawarushi uefa BT labda KTN cjui kama watafanya ivo leo
Nenda na mkeo bar, halftime kajisaidie tumia muda huo kuongea na unayemfuataga(kisukuma) mke hatajua. Lakini uwe makini jamaa atakuwa ameshaomba namba ya simu ya mkeo ukikaa muda mrefu kwa kisingizio cha tumbo kuuma.Mke wangu hataki kabisa niende bar kuangalia mechi za UEFA champions league,nikitaka kuondoka huwa ananishutumu kuwa nitaenda kutongaza ma bar maids,nyumbani tuna king'amuzi cha azam,sasa nataka nitulie home ili maisha yawe ya amani.
Lakini sijui channel ipi itaonesha game za leo pale azam tv,mwenye kujua anijuze wakuu
Asante sana mkuuNenda www.totalsportek.com bila chenga mkuu, huhitaji kutoka home. Nunua data tu