Leo Chelsea wanafungwa na Manchester United

Leo Chelsea wanafungwa na Manchester United

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Najua Leo watu wengi mmempa nafasi kubwa chelsea kushinda dhidi ya man u game ya Leo ya carabao.Ukiangalia vikosi vyote viwili Chelsea ana kikosi Bora kuliko man u pia hata form yao pia ni nzuri huku man u yupo na alitete.

Kati ya watu waliosema Chelsea atashinda me ni mmoja wapo lakini baada ya kusikia kauli ya lampard kwenye press conference kwamba atachezesha wachezaji wengi ambao hawapo kwenye first eleven yake Kwa maana nyingine wachezaji ambao hawapi nafasi watacheza leo Kama kauli ameongea kwakumaanisha au anatudanganya basi ameonesha hayupo serious na kombe la carabao.

Kutokana na hiyo kauli ya lampard nimebadilisha mawazo yangu naona Chelsea atapigwa na man u leo.
 
Leo hiyo Man U gonjwa gonjwa, lazima ikione cha mtema kuni. Chelsea ya Frank Lampard, siyo timu ya mchezo mchezo. Ni mwendo wa kulipa tu kisasi.
 
Chelsea tuna kikosi bora kivipi yaan wakati mchezaji wetu tegemeo kasepa na tukazuiwa kusajili

Wakati huo huo nyie woman united mumesajili mtakavyo
Kuwa na adabu wewe Man u katoka kukukojolea nne za nguvu hivi majuzi tu.
 
Back
Top Bottom