Leo Chelsea wanafungwa na Manchester United

Najua Leo watu wengi mmempa nafasi kubwa chelsea kushinda dhidi ya man u game ya Leo ya carabao.Ukiangalia vikosi vyote viwili Chelsea ana kikosi Bora kuliko man u pia hata form yao pia ni nzuri huku man u yupo na alitete.

Kati ya watu waliosema Chelsea atashinda me ni mmoja wapo lakini baada ya kusikia kauli ya lampard kwenye press conference kwamba atachezesha wachezaji wengi ambao hawapo kwenye first eleven yake Kwa maana nyingine wachezaji ambao hawapi nafasi watacheza leo Kama kauli ameongea kwakumaanisha au anatudanganya basi ameonesha hayupo serious na kombe la carabao.

Kutokana na hiyo kauli ya lampard nimebadilisha mawazo yangu naona Chelsea atapigwa na man u leo.
Mtaalam wa kubet...............
 
nmechan mkeka wangu kudadadeki chelsea, lich ya kuwapa dbo chanc bdo tu wamechana dah sjalala
 
Back
Top Bottom