Leo dada aliyenisajilia laini kanipigia simu

Habar zenu wakuu.

Leo nmeshangaa sana, mida ya sa11 jioni nilipokea simu kutoka kwa mwanamke nisiemjua, alijieleza vzur nikamkumbuka vzur kua ni alienisajilia lain week moja nyuma.

Tuliongea sana, akaniahidi ipo siku atakuja kwangu kunitembelea, nakumbuka siku ile nilisajili laini na akaniwekea vocha ya 1,000 kwahyo akawa ananidai 2,000

Nikampa 10,000 ili anirudishie 8,000 yangu
Lakini akadai chenchi hana kwakua biashara siku hiyo haikua nzuri, basi nikamwambia asijali hiyo 8,000 anaweza tuu akabaki nayo bila tatizo kwakua namimi nilikua busy nawahi job sikua na mda wa kusubiri akatafute chenchi.

Nqmba yangu anasema aliisave baada ya kunisajilia laini

Hivi na nyie huwaga mnapigiwa simu msalimiwe na wanaowasajilia laini zenu??
The Rat Trap
 
Mkuu una moyo mimi hata jero nalisubiria hata masaa matatu,yaani nikiacha change sehemu roho huwa inaniuma sana
 
Habar zenu wakuu.

Leo nmeshangaa sana, mida ya sa11 jioni nilipokea simu kutoka kwa mwanamke nisiemjua, alijieleza vzur nikamkumbuka vzur kua ni alienisajilia lain week moja nyuma.

Tuliongea sana, akaniahidi ipo siku atakuja kwangu kunitembelea, nakumbuka siku ile nilisajili laini na akaniwekea vocha ya 1,000 kwahyo akawa ananidai 2,000

Nikampa 10,000 ili anirudishie 8,000 yangu
Lakini akadai chenchi hana kwakua biashara siku hiyo haikua nzuri, basi nikamwambia asijali hiyo 8,000 anaweza tuu akabaki nayo bila tatizo kwakua namimi nilikua busy nawahi job sikua na mda wa kusubiri akatafute chenchi.

Nqmba yangu anasema aliisave baada ya kunisajilia laini

Hivi na nyie huwaga mnapigiwa simu msalimiwe na wanaowasajilia laini zenu??
Sasa mkuu si unalimaliza tu kishikaji juu kwa juu mpaka uje kutuomba ridhaa
 
Kuacha tip ni tabia. Unaweza sema hiyo 8.000 ni kama tip ameitoa.

Zamani nilivyokuwa mdogo hata sh 50 nitaisubiria.

Ila siku hizi kuacha tip kumekuwa sehemu yangu ya maisha.
Unapotoa tip huwa hufikirii kabisa suala la change lakini sio chenji unaitaka, lakini inapokosekana ndipo uite tip!

And remember, according to mtoa mada, kabla hajaacha hiyo 8K, waliongea sana, na kuahidiwa angetembelewa home... so, assuming alichoongea ni kweli, basi alichokuwa amefanya ni uwekezaji kwa dada msajiri laini!!
 
Wazee wa kubeti wameelewa😂😂
Both team to score!!
8000 [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Ulimuachia buku nane, ameona anaweza kuvuna zaidi ya hizo.
 
Ulishaweka chambo ya 8000 bila kujua jiandae kuvua samaki
 
Habar zenu wakuu.

Leo nmeshangaa sana, mida ya sa11 jioni nilipokea simu kutoka kwa mwanamke nisiemjua, alijieleza vizuri nikamkumbuka vizuri kua ni alienisajilia lain week moja nyuma.

Tuliongea sana, akaniahidi ipo siku atakuja kwangu kunitembelea, nakumbuka siku ile nilisajili laini na akaniwekea vocha ya 1,000 kwahyo akawa ananidai 2,000

Nikampa 10,000 ili anirudishie 8,000 yangu. Lakini akadai chenchi hana kwakua biashara siku hiyo haikua nzuri, basi nikamwambia asijali hiyo 8,000 anaweza tuu akabaki nayo bila tatizo kwakua namimi nilikua busy nawahi job sikua na mda wa kusubiri akatafute chenchi.

Nqmba yangu anasema aliisave baada ya kunisajilia laini

Hivi na nyie huwaga mnapigiwa simu msalimiwe na wanaowasajilia laini zenu?
Kwa hiyo umemla kiharasa?
 
Back
Top Bottom