Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Ogopa sana kushindwa kucontrol nyege, iwe ni mwanaume au mwanamke.Masikini Chiwawa anakula za uso kwa kila Mwanamke atakaye mfungulia uzi kwa kutumia Multiple ID's zake zote!
Subiri kesho aje na uzi wa kuwaponda wanawake wa JF.
cc ephen_ Seran Lamomy Red black binti kiziwi Binti wa zamani
Msaidie mshikaji kabla hajachukua maamuzi magumu πOgopa sana kushindwa kucontrol nyege, iwe ni mwanaume au mwanamke.
View attachment 3683538
Huyu kijana ana upwiru wa kwenda, yani amekua kama mwendawazimu hivi π
Ingekuwa mm ndo mtoa mada, nngejinyonga πNakuomba pls!! kama unaweza kufuta huu uzi futa kwani binafsi sipendagi haya mambo ya kuanzishiwa uzi.
Nyege mbaya sana, ukiona likes kadhaa tayar Unadhani Mtu amekuelewa πKutupiwa likes kadhaa ushaona kama unamjua mtu!!
ππzaidi mimi napenda pesa kunukia pesa hivyo ninapenda marafiki wenye pesa!.
Kama n uzi wako, kaa nao mwnyw ndani kwako.Jaman uzi wangu msitafutane Huku ππππ€
Uko wapi nami nije, leo J2 bhana tufurahi πAsanteni wote mlioniita!
Na samahani wote mlioniita asanteni sana lakini sitajibu kwa sababu haya mambo mimi huwa sifagilii kabisa.
Mimi kwenye sister duu na udada duu nilishatoka huko kwa sasa niko zangu bar nai enjoy ushangazi wangu.
Miwani ya bei mbayaaaaaaaaaaaaLeo dada husband is typi.....View attachment 3682994
Wakizidisha usumbufu we sema nitawapiga tu shaba.Asanteni wote mlioniita!
Na samahani wote mlioniita asanteni sana lakini sitajibu kwa sababu haya mambo mimi huwa sifagilii kabisa.
Mimi kwenye sister duu na udada duu nilishatoka huko kwa sasa niko zangu bar nai enjoy ushangazi wangu.
Mimi ningejirusha kwenye maji ya kina kirefu nife. Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu.Ingekuwa mm ndo mtoa mada, nngejinyonga π
Kushoboka mbele ya umma na kukataliwa mbele ya umma ni maumivu π
Wanaume wa JF, tujifunze kubalance shobo kudadeki zetu
Nyege za shobo mbaya sana πMimi ningejirusha kwenye maji ya kina kirefu nife. Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu.
Tena leo dada kamjibu kwa heshima, angekuwa bibie mwingine jamaa angeogea matusi.Nyege za shobo mbaya sana π
Niko arusha leo mbaga!.Uko wapi nami nije, leo J2 bhana tufurahi π
Unanikimbia au sio πNiko arusha leo mbaga!.