NLETE NDHUNGUU, NLETE NDHUNGUU, NLETE NDHUNGUU.... [emoji38]Lengo ili kumpa muda mrefu wa kucheza na sis watazamaj pamoja na bench la ufund liweze kuona mapungufu take au mazur yake.
Lakin akicheza dakka chache huwa tunashndwa kujua stregh na weakness zake. Leo akianza na akacheza Kama dakka Sabin hiv tutaona mazr na mapungufu yake.
Pia Watu wanaingza pesa kupitia BettingNLETE NDHUNGUU, NLETE NDHUNGUU, NLETE NDHUNGUU.... [emoji38]
Kushabikia mpira raha sana kuliko, kujitwisha mizigo ya mawazo ya kujitakia [emoji16]
Maisha matamu ukiwa na nidhamu lakini si kila wakati ukaze fuvu kuwa sirias kifikra maana wakati mwingine ubongo huhitaji kupumzika kwa vituko, matani, furaha [emoji28]
KivipPia Watu wanaingza pesa kupitia Betting
Hamia huko.Unaleta mchezaji kuja kupewa muda wakati mshindani wako analeta wachezaji ready made.