44mg44
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 2,158
- 2,186
Lengo ili kumpa muda mrefu wa kucheza na sis watazamaj pamoja na bench la ufund liweze kuona mapungufu take au mazur yake.
Lakin akicheza dakka chache huwa tunashndwa kujua stregh na weakness zake. Leo akianza na akacheza Kama dakka Sabin hiv tutaona mazr na mapungufu yake.