Nimepita Dodoma Muda Wa Saa 18:00 Kulikuwa Na Upepo Mkali, Na Giza Nene Ambalo Limefanya Watu Kukimbia Huku Na Huko Kutafuta Sehemu Za Kujikinga Na Vumbi Ambalo Upepo Wake Ulikuwa Na Kasi
Nimeona Miti Ikivunjika Na Kudondoka Chini, Pia Huenda Baadhi Ya Nyumba Zikakumbwa Na Uharibu Mkubwa Leo. Mvua Pia Inaendelea Kunyesha Hapa Mjini
Mamlaka TMA Ilitangazwa Kuanzia Tarehe 20.01023~23.01.023 Kwa Mikoa Ya Pwani Ndiyo Wategemee Kupata Upepo Mkali Wenye Kasi Kilometres 40 Kwa Sasa
Ila Huu Umeipiga Dodoma Nadhani Ndiyo Ule Utabiri