Leo Dodoma hali ya hewa ni upepo mkali na vumbi

Leo Dodoma hali ya hewa ni upepo mkali na vumbi

mkoa wadodoma katika ukoo kuna omba omba,kipofu na mwenye ukoma.ukoo unakuwa umekamilika wa wagogo
 
Karibu Dodoma... wahamiaji sisi tumeshapapenda balaaa...hewa ya kutosha huo upepo wa kupofusha macho labda uko huko kigwe...
Mvua imetandika balaa giza totoro leo
Upo makole au area c!?
 
Back
Top Bottom