Wanafatilia wapo kaziniWasemaje Jambo Limekuwa Gumu Jiji Gizani
Yah..hatari sanaNgoja Tuone Ila Ni Tatizo Kubwa Sana Mpaka Mji Gizani
Upo makole au area c!?Karibu Dodoma... wahamiaji sisi tumeshapapenda balaaa...hewa ya kutosha huo upepo wa kupofusha macho labda uko huko kigwe...
Mvua imetandika balaa giza totoro leo
Hayo maeneo napitaga tuuUpo makole au area c!?