Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hii bank sina hamu nayo aisee. Wana makato ya kufa mtu. Niliwakimbia.Stanbic Bank Wapo vizuri..hawana makato ila kianzia lazima iwe dollar 300
Je unatumia benki ipi?Hii bank sina hamu nayo aisee. Wana makato ya kufa mtu. Niliwakimbia.
Balckmarket tangu April rate ni 1usd = 3,000By December officially hii ngoma itakuwa 3000.
Unanyooka ukiwa wapi leoWewe sio mzalendo na ulizoea kupiga dili,, hahahahaha lazima tuwanyooshe wapiga dili..