Leo dola moja ni sawa na 2290. Kweli uchumi unakuwa

Leo dola moja ni sawa na 2290. Kweli uchumi unakuwa

Kwa watumiaji wa PayPal

Rate kwa sasa ni

$1 = TZS 2,405.2
 
Update kwa wanaofanya miamala mtandaoni.

Rate ya leo [ 16:55Hr ]
$1 = TZS. 2,417.4
1550671886715.png


Iwapo muamala utafanyika kwa kutumia EUR rate ni hii
€ 1 = TZS. 2,729.9017

1550671383563.png
 
Kwa manunuzi AMAZON

Rate 1 USD = 2,476.11 TZS
1550672583379.png
 
1553814554882.png

Muda huu kwa ambao wanafanya manunuzi kwa Paypal

Rate ni $1 = TZS. 2,436.433333333333
 
Muda huu: 05:07am
Mtandao: Aliexpress
Rate: $1 = TZS. ‭2,539.767616191904‬
 
Back
Top Bottom