Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ShenziiiiiiiiJamani mimi upande wangu mbona nahisi kufikia hapo 2290 inaonekana uchumi wetu umesimama vizur heshima ya shilling yetu inaonekana kuwa na thamani. Na mungu atuongoze izidi kupanda ili iwe na thamani zaidi hata ya wakenya
- Kwa baadhi ya benki hakuna ghalama ya uendeshaji kwa acount ya USDAccount ya dola ni gharama sana kuifungua na kuiendesha, mi ningemshauri anunuwe dola kutunza nyumbani kwake
Mfano bank gani?- Kwa baadhi ya benki hakuna ghalama ya uendeshaji kwa acount ya USD
- Mafno kama umeweka USD 1000, kiasi utakachotoa ni hicho hicho USD 1000. Hakuna makato.
- Ni jukumu lako kutauta benki sahihi kwa ajiri ya kuhifadhi fedha yako.
FNBMfano bank gani?
Duuh soon 2500....Uchumi unapaa kama Airbus 😂😂😂Kwa wanaofanya manunuzi mtandaoni hasa AMAZON
Rate kwa siku ya leo ni: $1 = TZS 2,460.18
View attachment 1010214
Kwa wanaofanya manunuzi mtandaoni hasa AMAZON
Rate kwa siku ya leo ni: $1 = TZS 2,460.18
View attachment 1010214
Sikubaliani na wewe hata kidogo noti za dola zinabadilika mara kwa mara mkuumi ningemshauri anunuwe dola kutunza nyumbani kwake
Ufumbuzi ni kutunza USD katika account maalum, isiyo na makato ya kila mwezi.Sikubaliani na wewe hata kidogo noti za dola zinabadilika mara kwa mara mkuu
Stanbic Bank Wapo vizuri..hawana makato ila kianzia lazima iwe dollar 300Ufumbuzi ni kutunza USD katika account maalum, isiyo na makato ya kila mwezi.
Ambapo kipibdi unaitoa fedha yako utapewa kwa rate itakayokuwepo kwa wakati huo.
Ni kweli kabisa..kama una bulk ya pesa ambayo haina matumizi ya haraka ni bora kuiweka kwenye account ya DollarUfumbuzi ni kutunza USD katika account maalum, isiyo na makato ya kila mwezi.
Ambapo kipibdi unaitoa fedha yako utapewa kwa rate itakayokuwepo kwa wakati huo.
FNB pia hawana makato wao ni kuanzia USD 100Stanbic Bank Wapo vizuri..hawana makato ila kianzia lazima iwe dollar 300
Vipi kwa benk zetu zenye matawi mengi hapa Tz,FNB pia hawana makato wao ni kuanzia USD 100