Leo hakuna NBC premier league live updates?

Leo hakuna NBC premier league live updates?

Au ligi imepoteza mvuto ghafla, maana kimya kabisa. Hadi muda huu hakuna hata uzi maalumu. KWELI Simba ndo wenye ligi
KWELI Simba ndo wenye ligi.
Hata kule kwenye app ya All Football live, hakuna Tena updation ya msimamo wa ligi baada Simba kujikatia tamaa ya ubingwa.
Mpaka Leo msimamo umekomea kwenye michzo 18 kwa Yanga na alama 48 huku Simba ana michezo 17 na alama 37
 
Back
Top Bottom