LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,491
- 12,560
Enzi hizo Mako yupo kwenye kiti Lemutuz alikuwa mpambe haswaa walikuwa wanaitana marafiki wa kufa na kuzikana mtaani Lemutuz alikuwa anamuita mako Le commandant fidel Marshall [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila tokea mako apigwe chini huezi amini Lemutuz alivyobadili gia angani, yaani now kama hawajuani.
Ila tokea mako apigwe chini huezi amini Lemutuz alivyobadili gia angani, yaani now kama hawajuani.