😂 you know niko downtown na wabebez
Swali zuri mkuuUmewakuta wapi wakachuniana?
This case is closed [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] you know niko downtown na wabebez
-le mutumbo-
[emoji38][emoji38][emoji38]Le mutuz ni mzee aliyekosea maisha kuna vitu inabidi mumuelewe tu.
Kula yake inategemea kujipendekeza kwa watu waliofanikiwa.
Kwa umri wa le mutuz na familia aliyotoka kiukweli hakustaili kuwa chawa wa wadogo zake kama kina makonda sijui Amos makala kesho akija mwingine ataunga tela apate mkate wake wa kila siku.
Siku hz page yake anamtukana chuma kinomanoma yule chuma wa kanyaga twende.
Just mueleweni na vijana tujifunze kuutumia wakati vizuri.
You know... Life la downtownLe mutumboz,you know hola amseying?niko na wabebez wakali,pisi za ukweli,kumbe wapi,kibamiaa tuu mwili jumba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Le mutuz ni mzee aliyekosea maisha kuna vitu inabidi mumuelewe tu.
Kula yake inategemea kujipendekeza kwa watu waliofanikiwa.
Kwa umri wa le mutuz na familia aliyotoka kiukweli hakustaili kuwa chawa wa wadogo zake kama kina makonda sijui Amos makala kesho akija mwingine ataunga tela apate mkate wake wa kila siku.
Siku hz page yake anamtukana chuma kinomanoma yule chuma wa kanyaga twende.
Just mueleweni na vijana tujifunze kuutumia wakati vizuri.
😂Le mutumboz,you know hola amseying?niko na wabebez wakali,pisi za ukweli,kumbe wapi,kibamiaa tuu mwili jumba
Le Commandant Field Marshall Kanyaga twende tumechelewa sanaEnzi hizo Mako yupo kwenye kiti Lemutuz alikuwa mpambe haswaa walikuwa wanaitana marafiki wa kufa na kuzikana mtaani Lemutuz alikuwa anamuita mako Le commandant fidel Marshall [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila tokea mako apigwe chini huezi amini Lemutuz alivyobadili gia angani, yaani now kama hawajuani.
Mutu Kitu,,Enzi hizo Mako yupo kwenye kiti Lemutuz alikuwa mpambe haswaa walikuwa wanaitana marafiki wa kufa na kuzikana mtaani Lemutuz alikuwa anamuita mako Le commandant fidel Marshall [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila tokea mako apigwe chini huezi amini Lemutuz alivyobadili gia angani, yaani now kama hawajuani.