VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 674
MKUU ASANTE KWA KUONESHA KUGUSW NA HILI SWALA LA CHETI CHANGU,
NimeSOMA KATIKA MAZINGIRA MAGUMU SANA, HALAFU CHETI KIMEIBIWA SHULENI
SHULE : VICTORY SEC SCHOOL CENTER
Mwaka : 2006
Candidate no ni P1619/0045
Baraza la mitihani hawatoi cheti mara 2,badala yake unapewa statement of result .
Baraza la mitihani hawatoi cheti mara 2,badala yake unapewa statement of result .
Duh,
Shukrani kwa mliotupa somo, hata mimi sikulifahamu hilo.
Inakuwaje sasa kwa anayetaka kwenda kusoma nje ya nchi?
Kuna vyuo havikubali statement of results, kimojawapo ni hapa nilipo mimi.
Wanataka Cheti (Certificate) hakuna longolongo.
Transcript, statement of results wanaihitaji kama kiambatanishi (attachment) inayosindikiza Cheti!!!
Majanga...
YAANI WAMENIBOA SANA HAWA JAMAAA!Eti HAWATOI MIKONONI KWA MTAHINIWA BALI WANATUMA KWA MAMLAKA INAYOTAKA HICHO CHETI ,
Sasa mpaka hapo Wizara ya Elimuu, unailaumu kwa kosa gani!????
mbona sioni tatizo la wizara hapo mkuu, cheti huwa hakitolewi mara 2, utapewa kiwakilishi cha niaba
mkuu wangenipa ingekuw bora zaidi, sasa wao wameanza na utaratibu wa kutotoa mikononi mwa mtahiniwa bali wanaituma kwa mamlaka inayotaka hicho kiwakilishi, kwa hiyo ntakuwa nalipia kila mara ninapofanya application