VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 674
Yaani ndugu zangu watanzania yatakamoyo kuisapoti hii wizara, mwenzenu cheti cha form four kimeibiwa, sasa nilipoenda baraza la mitihani wakaniambia nikiatanze kwenye magazetii ya serikali yaani habari leo ama daily news, na nimefanya hivyo kwa kutangaza kwwnye gazeti la habari leo (ambapo nimelipia elfu 20,toleo la tarehe 20 january, nikatoa kopy ya lile tangazo pamoja na los report ya chet changu cha form four, sasa wakanambia chet hawatoi! Mbona uki lost atm card,line za cm, huwa tunapatiwa?