Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Mmepanic mikia,mnafuatilia habari za Yanga hatari,Kweli Utopolo ni Utopolo tu,pole sana mtani,mmeshikwa akili vibaya sana na injinia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmepanic mikia,mnafuatilia habari za Yanga hatari,Kweli Utopolo ni Utopolo tu,pole sana mtani,mmeshikwa akili vibaya sana na injinia.
Hao hakuna kitu aiseevipi wakuu mlipuko umefikia wapi?
Nakungoja kwenye ngao ya hisani nikupige ili uone jinsi ulivyosajili magalasa.Mmepanic mikia,mnafuatilia habari za Yanga hatari,
Nimekufunga kwenye ligi ukiwa kamili,timu ambayo mlikua mnadai mnaweza kuifunga goli 3 na zaidi mkaja kuifunga kwa tabu ikiwa pungufu,kumbuka kocha nabi aliikuta ile timu na sasa hivi anasajili mwenyewe,mpira unachezwa sehemu ya wazi tukutane ngao ya hisani uone nitakavyokupasuaNakungoja kwenye ngao ya hisani nikupige ili uone jinsi ulivyosajili magalasa.
Wewe tuliza msambwanda uelewe, hoja ilikuwa ni njama za nje ya uwanja za Simba dhidi ya Yanga, msemaji wa Azam alilalamika kuwa Simba iliwafuata ili wapigane kiume dhidi ya Yanga. Hii ni Azam ambao huwezi kuwahonga, jiulize kwenye club nyingine Simba huwa anafanya nini. Inabidi tumwombe mzee Rage arudi pale wajinga wameendelea kuwa wengi.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Mpili alipata umaarufu kwa Simba, sababu mojawapo Manara kuitwa msaliti etinni kuvujisha siri za uchawi, hiyo ni club au genge la kangara?Kwa hiyo clubs nyingine simba inazihonga? Una ushahidi..?!
Halafu na nyie utaputapu mlishindwa nini kuzihonga ili zisiwakomalie mzifunge?
Utopolo nakuambia akili zenu zimeshikwa na mzee mpili kama siyo vyura!