Leo hii panalipuka huko kariakoo

Nakungoja kwenye ngao ya hisani nikupige ili uone jinsi ulivyosajili magalasa.
Nimekufunga kwenye ligi ukiwa kamili,timu ambayo mlikua mnadai mnaweza kuifunga goli 3 na zaidi mkaja kuifunga kwa tabu ikiwa pungufu,kumbuka kocha nabi aliikuta ile timu na sasa hivi anasajili mwenyewe,mpira unachezwa sehemu ya wazi tukutane ngao ya hisani uone nitakavyokupasua
 
Kwa hiyo clubs nyingine simba inazihonga? Una ushahidi..?!
Halafu na nyie utaputapu mlishindwa nini kuzihonga ili zisiwakomalie mzifunge?
Utopolo nakuambia akili zenu zimeshikwa na mzee mpili kama siyo vyura!
 
Mpili alipata umaarufu kwa Simba, sababu mojawapo Manara kuitwa msaliti etinni kuvujisha siri za uchawi, hiyo ni club au genge la kangara?

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…