Leo hii ukiifahamu tarehe yako ya kufa, je utaanza kuishi maisha ya aina gani?

Nitafanya kosa lile lile ambalo hata kwenye movie wanafanya, kujaribu kukusanya mali za kutosha kama nikiondoka familia iweze ku survive, kuliko kuwa karibu na familia
 
Jibu zuri ndugu.
Ziko baadhi ya movies watu wana dili na issue kama Hilo swali.
Shukrani.
 
Back
Top Bottom