Leo hii ukiifahamu tarehe yako ya kufa, je utaanza kuishi maisha ya aina gani?

unafikiri watu kinawatisha muda wa kufa..?
watu wanatishika na wakifa wanaenda wapi!, na ndio dini zilipowashika watu zinajua tukiwaambia kuna pepo mtapenda na mkiambiwa kuna moto mtaogopa!.. pia ndio maana watu wanajua vitu fulani vinaleta madhara lakini bado wanavitumia na wanajua hatari inayoweza kuleta ni kifo!, ila hawaogopi sasa waambie na wapate hakika kuwa wakifa wataenda pazuri ama pabaya hapo ndo kinaumana!.

ila wacha niwaambie ukweli mchungu!, kufa ni sawasawa na ambavyo ulikuwa kabla ya kuzaliwa! uoga ulionao juu ya kifo nikwasababu nature inakutaka uwe hivyo ili iendelee kuhakikisha kuwa uhai unakuwepo!.
Wachache wanaojua siri ya jinsi ubongo wa mwanadamu unavyofanya kazi kifikra na hisia ndio wanatumia nafasi hiyo kufaidika na aidha upuuzi wako ama hisia zako!.

Don't fu cking tell me God can only speak to the others and not you!, don't blind your fu cking mind open your eyes kenge kabisa.
 
Mkuu, unaeleweka hata usipotaja kuto#@ kwa kizungu.
Sasa nina swali, kabla hujazaliwa inamaana hukuwepo popote pale si ndio?
 
Shukrani kwa maelezo yako.
Umefafanua vizuri.
Hakika tuishi kwa amani bila kuogopa kufa.
 
Mkuu, unaeleweka hata usipotaja kuto#@ kwa kizungu.
Sasa nina swali, kabla hujazaliwa inamaana hukuwepo popote pale si ndio?
Utakula tusi nimegadhabika sana unaliza swali ambalo jibu lipo kwenye komenti unanitafutia ban!
 
Utakula tusi nimegadhabika sana unaliza swali ambalo jibu lipo kwenye komenti unanitafutia ban!
Basi mkuu, endelea kushusha nondo, hakuna haja ya ban.
 
Basi mkuu, endelea kushusha nondo, hakuna haja ya ban.
kilichobaki sasa ni kushusha nondo za kwenye vichwa kwa vile vichwa vijinga vijinga labda vitaelewa vikipata maumivu ya kichwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…