kagulilo1
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 302
- 279
unataka kumsaidia au unataka kuwekeza?Kweli asee Jana kuna bar moja nilikuwa naangalia mpira nikamwona muhudumu kwa mbali kakaa mwenyewe nikasogea kumpa kampan manake ni mzuri niliona kazi anayofanya haimfai maongezi yakaendelea ndo tukafikia plan za maisha make alinambia hiyo kazi anayofanya anatafta tu riziki maana alikuwa mwanachuo akafukuzwa wazazi wakakataa kumsomesha ila anatamani awe na soloon, duka la vipodozi na urembo au nguo maana ndo mambo anayoyaweza kwa hiyo Niko katika harakati za kumsaidia
blame no body