mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Wema ni msanii, msanii kazi yake ni sanaa. Sanaa ni maigizo.
Mimi nilishangaa zaidi pale professional lawyer alipogeuza maneno kusema eti EL hakuwa fisadi bali mfumo ndo chanzo.
Yaani Nchi hii imejaa Drama, kuanzia ikulu mpaka uswazi. Yaani Mungu asaidie tuWema ni msanii, msanii kazi yake ni sanaa. Sanaa ni maigizo.
Mimi nilishangaa zaidi pale professional lawyer alipogeuza maneno kusema eti EL hakuwa fisadi bali mfumo ndo chanzo.
Una uwezo mdogo sana wa kutafakari mambo.