Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
MmmmhhhhMimi napitaaaaaaaaaaaa
Usiwe na haraka kiasi hicho, hata salamu hamna!!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmmmhhhhMimi napitaaaaaaaaaaaa
Asante sanamleta mada utakuwa jinsia ya kike bila shaka
Mbona alimwandikia msg Lulu lakini bado akahukumiwa......acheni hizo.
Acha kuingilia maamuzi binafsi ya watuKwani ni lazima Msanii Kuwa na chama
Mmmmhhhh
Usiwe na haraka kiasi hicho, hata salamu hamna!!??
mleta mada utakuwa jinsia ya kike bila shaka
Acha kuingilia maamuzi binafsi ya watu
Mbona sugu na prof J,wana chama?
Yaani unakwazika kwa wema kutumia haki yake mpaka unamfungulia thread?una tatizo weweSijaingilia maamuzi ya mtu yeyote hapa. Nimeuliza tu swali!
Wema anaonyesha kabisa maamuzi yake kuhusu siasa ni haba, Wewe ambaye unaonekana ni mfuasi wake sasa hivi unaelewa nini kwa maneno aliyotoa juu ya CCM na Makonda wakati anaondoka na maneno aliyosema wakati huu akirudi CCM.
Hao uliowasema Sugu na Prof. J ni wanasiasa, ndio. Ila haijibu swali langu kwamba ni lazima wawe wanasiasa
Yaani unakwazika kwa wema kutumia haki yake mpaka unamfungulia thread?una tatizo wewe
Huu ni ukweli mtupu, na ukitaka kuishi kama digi digi kosoa au jifanye mwanaharakatiSasa hivi nchi hii ili ubaki salama na ukitaka kula majasho ya watanzania we jifanye CCM tu,watu siku hizi wanaweka kofia kenye wind mirror barabarani traffic akiona wala hakusumbui
Kumbeeeeeeh!Now I understand na kuelewa kinaga ubaga.