Leo hii Wema Sepetu wa kumuita Makonda "Le Brother"?

Leo hii Wema Sepetu wa kumuita Makonda "Le Brother"?

Mkuu wa usalama wa mkoa amepiga picha na mtuhumiwa wa dawa za kulevya!! Ivi vizibiti vinatunzwa na mhimili gani?
 
Mwenyekiti ye alishawahi kumfata hadi mahakamani na bado akam-fly-sha to kia
IMG_20171211_205909.jpg
IMG_20171211_205811.jpg
 
Huyu wema povu lilimtoka kuwa Madereva kampangia apartment masogange makongo kama nakumbuka vizuri
 
Bavicha wana kamsemo kao kuwa kwenye siasa hakuna adui wa kudumu
 
Acha kuingilia maamuzi binafsi ya watu
Mbona sugu na prof J,wana chama?

Sijaingilia maamuzi ya mtu yeyote hapa. Nimeuliza tu swali!

Wema anaonyesha kabisa maamuzi yake kuhusu siasa ni haba, Wewe ambaye unaonekana ni mfuasi wake sasa hivi unaelewa nini kwa maneno aliyotoa juu ya CCM na Makonda wakati anaondoka na maneno aliyosema wakati huu akirudi CCM.

Hao uliowasema Sugu na Prof. J ni wanasiasa, ndio. Ila haijibu swali langu kwamba ni lazima wawe wanasiasa
 
Yaani unakwazika kwa wema kutumia haki yake mpaka unamfungulia thread?una tatizo wewe
 
Yaani unakwazika kwa wema kutumia haki yake mpaka unamfungulia thread?una tatizo wewe

Ni haki yake na wala sijakwazika, ni kwazike kisa mtu hajielewi anataka nini na kubaki kutapatapa tu 😀😀😀
 
Sasa hivi nchi hii ili ubaki salama na ukitaka kula majasho ya watanzania we jifanye CCM tu,watu siku hizi wanaweka kofia kenye wind mirror barabarani traffic akiona wala hakusumbui
Huu ni ukweli mtupu, na ukitaka kuishi kama digi digi kosoa au jifanye mwanaharakati
 
Kumbeeeeeeh!Now I understand na kuelewa kinaga ubaga.
The picture tells it all..........!!!! Kwamba kisa cha Bashiite kumuunganiisha Wema kwene maskandeli ya Bangi na Madawa ya kulevya ni.......!!Nicheme nichicheme?????Yaelekea Bashite alinyimwa ile kitu............!!!
Hii kitu......hii kitu..!!!!.....Utajaza menyewe!!!!!
 
Back
Top Bottom