Leo hii Wema Sepetu wa kumuita Makonda "Le Brother"?

hamna shida hana madhara huyo DAB!
 
Tunatoana macho kumbe wenzetu wanakula bata tu...
 
Wema ni mwanamke na cku zote mwanamke haaminiki
 
Nyie ndio msiokuwa na akili sana. Mmasahau kuwa wakili wa huyo bibie ni msando? Na Msando kaamiamia CCM? Na aliye mshitaki the Brother? The brother anaweza sana kushawishi bibie asiwekwa ndani. Hayo ni mapendekezo ni Wakili wake.
 
Heshima kuu RC Makonda.
Umesifiwa nakupewa kila aina ya jina kwa kujitokeza na kutangaza ya kuwa unapambana na madawa ya kulevya.

Leo umepiga picha ukiwa na mtuhumiwa wa madawa ya kulevya na ambaye kesi bado iko mahakamani.
Tukueleweje???
 
Amesifiwa na wajinga labda. Hajawahi kupambana na madawa sana sana alimevuruga vita ya madawa ya kulevya. Watuhumiwa wake karibu wote sasa ni marafiki wake wakubwa. Nadhani alitaka wamwabudu!
 
Heshima kuu RC Makonda.
Umesifiwa nakupewa kila aina ya jina kwa kujitokeza na kutangaza ya kuwa unapambana na madawa ya kulevya.

Leo umepiga picha ukiwa na mtuhumiwa wa madawa ya kulevya na ambaye kesi bado iko mahakamani.
Tukueleweje???
imekuuma
 
Ni wapi na lini
makonda alikuwa ana deal na watu wa madawa ya kulevya ?

Msiwe na akili kisoda.
 
Kwani kupiga kwake picha kunaathiri vipi maisha yako nenda basi na wewe upiga nae picha kama unaona anafaidi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…