Leo huenda ikawa siyo siku nzuri kwa Rais wa TFF Malinzi kwani Mapacha hawa kuchukua Fomu rasmi

Leo huenda ikawa siyo siku nzuri kwa Rais wa TFF Malinzi kwani Mapacha hawa kuchukua Fomu rasmi

Malinzi anamuhofia Athumani Nyamlani sio hao. Vita ilishaandaliwa na kupiganwa miaka miwili nyuma hapa ni kuenda kupandisha bendera.
Mpira una fitina sio kama watu wanavyojua. Kampeni zilishaanza kwenye chaguzi za mikoa na ndio maana migogoro mingi ilikuwepo kwenye chaguzi mikoani.
Huu uchaguzi naufananisha na ule uliomuondoa babu Hayatou licha ya umafia wake
 
bf03a36022e802df2fc77a45e7b84abc.jpg

Malinzi Out....haiwezekani mchezaji mwenye kiwango cha hali ya juu kama Nyosso alipewa adhabu ya uonevu

Ila Jamaa nae alizidisha sana kupiga Ndole Kati wenzie.
 
Duh! Julio?? Basi tena!
Mkuu barafuyamoto unadhani hili swala ni utani au haujaangalia taarifa za michezo kwenye TV?yaani ungeangalia ungejisikia kichefuchefu sana na ndio maana sisi wengune tunaona màra elfu kumi Malinzi amalizie awamu yake ya pili kuliko huu upupu na njaa unaotaka kuingia pale TFF maana pale patageuka solo na kijiwe na story,kahawa na udalali.
 
Nakumbuka uchaguzi wa kwanza uliomuengua Mzee Ndolanga na kumuweka Tenga madarakani! Serikali ikiamua jambo lake na kulisimamia haishindwi kirahisi! Siamini kama serikali itakuwa na Malinzi
 
Nakumbuka uchaguzi wa kwanza uliomuengua Mzee Ndolanga na kumuweka Tenga madarakani! Serikali ikiamua jambo lake na kulisimamia haishindwi kirahisi! Siamini kama serikali itakuwa na Malinzi
Kwa hiyo kwa akili zako timamu unataka kuniambia Serikali ipo upande wa akina Mayay?

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Wanaangainga huku juu wakati 75% ya wajumbe (I.e wenyeviti wa mikoa) wamepitishwa kwa figisu za malinzi... Hii vita sio ndogo
 
Back
Top Bottom