ANCIENT FROM EGYPT
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 927
- 1,136
Oo Ila mi siyoKama ni mkatoliki, mafundisho ni hayo hayo Tanzania nzima.
Shateni alinipitia [HASHTAG]#hashtag[/HASHTAG] # team flaniJamani kama mnavyojua kuwa Leo ni siku ya kwenda kuabudu kwa wakristo wa madhehebu yaliyo mengi. Lakini najua tupo ambao hatujaenda. Kama hujaenfa, kwa nini hujaenda church Leo?
Mimi niwe mkweli ni kuwa sijaenda kanisani Nina kama miezi mitatu hivi na sina sababu ya msingi sana, labda Ni baada ya kuona viongozi wa dini wamekuwa waswahili sana.
...........Dunia nzima kaka,popote kwenye Kanisa Catholic masomo ni hayo hayo.Kama ni mkatoliki, mafundisho ni hayo hayo Tanzania nzima.
Chief nadhani unazidi kujipoteza,inakupasa uhudhurie kanisani kusali ikiwa ni pamoja na kumuombea huyo mwenzako wa ndoa abadili msimamo ili siku moja muweze kufunga ndoa takatifu ya Kikanisa...what if mkajaaliwa watoto,huwezi kwenda kuwabatiza kwa sababu mmefunga ndoa bomani?Kwa sisi RC huwezi enda kanisani usikomunike ukajihesabu umesali...ndoa yangu imefungwa Bomani hivyo sina sifa ya kushiriki sakramenti na siujui mlango wa Kanisa huu mwaka wa tano sasa lakini dhaka natoa.
Una sababu kama yangu hata hivyo ni mhudhuriaji mzuri sana wa mikutano ya Mwalimu Christopher mwakasegeJamani kama mnavyojua kuwa Leo ni siku ya kwenda kuabudu kwa wakristo wa madhehebu yaliyo mengi. Lakini najua tupo ambao hatujaenda. Kama hujaenfa, kwa nini hujaenda church Leo?
Mimi niwe mkweli ni kuwa sijaenda kanisani Nina kama miezi mitatu hivi na sina sababu ya msingi sana, labda Ni baada ya kuona viongozi wa dini wamekuwa waswahili sana.
Ukiisoma hii sehemu ya Injili Takatifu ni kwamba Mafarisayo walimtega Yesu ili kumfitinisha na utawala wa kipindi hiko so wakamuuliza "je ni halali kulipa kodi kwa Kaiser"...walitumia trick hii wakidhani kwamba angewaambia haiwapasi kulipa ila yeye akatumia hekima ya hali ya juu kuwajibu.kwa dunia tunayoishi sasa Kaizar ni serikali zinazotuongoza so tunapaswa tulipe kodi halali ili mataifa yetu yaendelee,na ya Mungu ni kama hivi kupaswa kumuabudu na kumsifu yeye{hii kwa hapa kwetu hai-apply sana maana automatically tuna siku za kupumzika kwa ajili ya kuabudu ila mataifa kama China au Korea huko ndiyo tunaweza kuwafananishia}kulipa dhaka inavyotakiwa,kutenda mema kwa wenzetu nk.ni elimu pana kidogo itoshe tu ktk hayo watajazilizia wengine!Hivi ya kaisari ni yapi ayo na ya Mungu pia ni yapi? Msaada tafadhali kabla sijakomenti kwanini leo sijaenda chapel
Duh asante Sanaa umenifungua hakikaUkiisoma hii sehemu ya Injili Takatifu ni kwamba Mafarisayo walimtega Yesu ili kumfitinisha na utawala wa kipindi hiko so wakamuuliza "je ni halali kulipa kodi kwa Kaiser"...walitumia trick hii wakidhani kwamba angewaambia haiwapasi kulipa ila yeye akatumia hekima ya hali ya juu kuwajibu.kwa dunia tunayoishi sasa Kaizar ni serikali zinazotuongoza so tunapaswa tulipe kodi halali ili mataifa yetu yaendelee,na ya Mungu ni kama hivi kupaswa kumuabudu na kumsifu yeye{hii kwa hapa kwetu hai-apply sana maana automatically tuna siku za kupumzika kwa ajili ya kuabudu ila mataifa kama China au Korea huko ndiyo tunaweza kuwafananishia}kulipa dhaka inavyotakiwa,kutenda mema kwa wenzetu nk.ni elimu pana kidogo itoshe tu ktk hayo watajazilizia wengine!
Si Tanzania tu bali dunia nzima mafundisho ni hayo hayoKama ni mkatoliki, mafundisho ni hayo hayo Tanzania nzima.
Acha kujustify nenda church Mungu anakuwepo walipo wawili au zaid.Kukutana kanisani kuna faida nyingi utajenga ushirika vizur na wengine..Asante kwa kunielewa.
Mbona ya bundle unayo?.sadaka si pesa tu hata vitu vingineMi sienda kwavile sina sadaka, maana ukienda halafu usitoe sadaka mchungaji anakasirika sana.
Sasa huyo mwenye hangover ajue tu kwa Mungu hakuna chibuku wala eagle au senator!
Nipe mstari unaosema Mungu yupo walipo wawili.Acha kujustify nenda church Mungu anakuwepo walipo wawili au zaid.Kukutana kanisani kuna faida nyingi utajenga ushirika vizur na wengine..
Nimecheka sana.Kwa sisi RC huwezi enda kanisani usikomunike ukajihesabu umesali...ndoa yangu imefungwa Bomani hivyo sina sifa ya kushiriki sakramenti na siujui mlango wa Kanisa huu mwaka wa tano sasa lakini dhaka natoa.
siujui mlango wa Kanisa huu mwaka wa tano sasa lakini dhaka natoa.
Watoto wapo na wamebatizwa lakini chini ya usimamizi wa mlezi/mlei wa kiroho ambaye ni bibi na babu zao.Chief nadhani unazidi kujipoteza,inakupasa uhudhurie kanisani kusali ikiwa ni pamoja na kumuombea huyo mwenzako wa ndoa abadili msimamo ili siku moja muweze kufunga ndoa takatifu ya Kikanisa...what if mkajaaliwa watoto,huwezi kwenda kuwabatiza kwa sababu mmefunga ndoa bomani?