Leo hujaenda kanisani? Kwa nini?

Leo hujaenda kanisani? Kwa nini?

Kwa sisi RC huwezi enda kanisani usikomunike ukajihesabu umesali...ndoa yangu imefungwa Bomani hivyo sina sifa ya kushiriki sakramenti na siujui mlango wa Kanisa huu mwaka wa tano sasa lakini dhaka natoa.
 
Jamani kama mnavyojua kuwa Leo ni siku ya kwenda kuabudu kwa wakristo wa madhehebu yaliyo mengi. Lakini najua tupo ambao hatujaenda. Kama hujaenfa, kwa nini hujaenda church Leo?
Mimi niwe mkweli ni kuwa sijaenda kanisani Nina kama miezi mitatu hivi na sina sababu ya msingi sana, labda Ni baada ya kuona viongozi wa dini wamekuwa waswahili sana.
Shateni alinipitia [HASHTAG]#hashtag[/HASHTAG] # team flani
 
Kwa sisi RC huwezi enda kanisani usikomunike ukajihesabu umesali...ndoa yangu imefungwa Bomani hivyo sina sifa ya kushiriki sakramenti na siujui mlango wa Kanisa huu mwaka wa tano sasa lakini dhaka natoa.
Chief nadhani unazidi kujipoteza,inakupasa uhudhurie kanisani kusali ikiwa ni pamoja na kumuombea huyo mwenzako wa ndoa abadili msimamo ili siku moja muweze kufunga ndoa takatifu ya Kikanisa...what if mkajaaliwa watoto,huwezi kwenda kuwabatiza kwa sababu mmefunga ndoa bomani?
 
Jamani kama mnavyojua kuwa Leo ni siku ya kwenda kuabudu kwa wakristo wa madhehebu yaliyo mengi. Lakini najua tupo ambao hatujaenda. Kama hujaenfa, kwa nini hujaenda church Leo?
Mimi niwe mkweli ni kuwa sijaenda kanisani Nina kama miezi mitatu hivi na sina sababu ya msingi sana, labda Ni baada ya kuona viongozi wa dini wamekuwa waswahili sana.
Una sababu kama yangu hata hivyo ni mhudhuriaji mzuri sana wa mikutano ya Mwalimu Christopher mwakasege
Kila akija huku huwa lazima nitie timu huwa nabarikiwa sana na mahubiri yake
In fact kama ni kazi yaani kupata kibarua nilichonacho naamini Mwenyezi Mungu alimtumia kupata hii kazi niliyonayo
 
Hivi ya kaisari ni yapi ayo na ya Mungu pia ni yapi? Msaada tafadhali kabla sijakomenti kwanini leo sijaenda chapel
Ukiisoma hii sehemu ya Injili Takatifu ni kwamba Mafarisayo walimtega Yesu ili kumfitinisha na utawala wa kipindi hiko so wakamuuliza "je ni halali kulipa kodi kwa Kaiser"...walitumia trick hii wakidhani kwamba angewaambia haiwapasi kulipa ila yeye akatumia hekima ya hali ya juu kuwajibu.kwa dunia tunayoishi sasa Kaizar ni serikali zinazotuongoza so tunapaswa tulipe kodi halali ili mataifa yetu yaendelee,na ya Mungu ni kama hivi kupaswa kumuabudu na kumsifu yeye{hii kwa hapa kwetu hai-apply sana maana automatically tuna siku za kupumzika kwa ajili ya kuabudu ila mataifa kama China au Korea huko ndiyo tunaweza kuwafananishia}kulipa dhaka inavyotakiwa,kutenda mema kwa wenzetu nk.ni elimu pana kidogo itoshe tu ktk hayo watajazilizia wengine!
 
Duh asante Sanaa umenifungua hakika
 
Asante kwa kunielewa.
Acha kujustify nenda church Mungu anakuwepo walipo wawili au zaid.Kukutana kanisani kuna faida nyingi utajenga ushirika vizur na wengine..
 
Sasa huyo mwenye hangover ajue tu kwa Mungu hakuna chibuku wala eagle au senator!

Wewe wa imani gani? Kule peponi kuna mito itiririshayo pombe za kila aina. Hivi viwanda vyetu huangalia kule vika copy na ku pest hapa. Usiogope, kule Light utapata, Balimi ipo na hata Teachers whisky ipo mkuu. Kula sana larger hapa ukifika usiwe mshamba ka walokole
 
Huwa naenda ibada ya Pili...nikichelewa hapo huwa siendi kabisa..

Leo nimejipata nimechelewa tu bila sababu...
 
Acha kujustify nenda church Mungu anakuwepo walipo wawili au zaid.Kukutana kanisani kuna faida nyingi utajenga ushirika vizur na wengine..
Nipe mstari unaosema Mungu yupo walipo wawili.

Wauaji wawili wakiwa wanapanga kuua Mungu anakuepo?

Mchungaji mmoja akiwa chumbani peke yake anatafakari neno Mungu hayupo?
 
Kwa sisi RC huwezi enda kanisani usikomunike ukajihesabu umesali...ndoa yangu imefungwa Bomani hivyo sina sifa ya kushiriki sakramenti na siujui mlango wa Kanisa huu mwaka wa tano sasa lakini dhaka natoa.
Nimecheka sana.

Hasa hii para
siujui mlango wa Kanisa huu mwaka wa tano sasa lakini dhaka natoa.
 
Chief nadhani unazidi kujipoteza,inakupasa uhudhurie kanisani kusali ikiwa ni pamoja na kumuombea huyo mwenzako wa ndoa abadili msimamo ili siku moja muweze kufunga ndoa takatifu ya Kikanisa...what if mkajaaliwa watoto,huwezi kwenda kuwabatiza kwa sababu mmefunga ndoa bomani?
Watoto wapo na wamebatizwa lakini chini ya usimamizi wa mlezi/mlei wa kiroho ambaye ni bibi na babu zao.
 
Yaani Mimi ndo na libalaaa...napoishi na Kanisa ni pua na mdomo ila siendagi

Eeh M/Mungu nisaidie
 
Back
Top Bottom