Leo huyu dogo kanisikitisha sana

Unampangiaje mtu matumizi? Sasa ungeona mtu ananunua laptop ya milioni 6 na ushee si ungekuwa kichaa? We fanya yako mkuu
 
Boma ye yee

Boma Liwanza

Maisha ni KUCHAGUA 🤓🤓🤓🤓😊😆🤓

Pole sana Kwa mdogo etu....
 
Hivi kuna nchi inaendekeza mapenzi kama tanzania kweli katika sayar hii?
 
Sasa mbona jambo la kitoto namna hiyo unalileta hapa suala lilikuwa ni kumshauri tu bwana mdogo kuwa Kuna moja na mbili Sasa ww umemdodosa zen ushauri wako kwake unauleta huku Kweli baada ya huu mwaka kuisha tunapoteza watu wenye busara na hekima tunabakiza walopokaji walopokaji kama ww
 
Dogo atakuwa analalia kiepe lojo unategemea awe na nguvu wapi?
 
Unauliza maswali wateja hivyo kwenye duka la mtu means unamfanya mteja mjinga kununua hio bidhaa

Pili, una ukoloni sana mzee umekutana na kijana humble mpaka mkafikishana huko in my day life huwezi nihoji maswali kiwaki naona hio ungeishia swali la kwanza tu na kupiga kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…