Leo huyu dogo kanisikitisha sana

Leo huyu dogo kanisikitisha sana

Unauliza maswali wateja hivyo kwenye duka la mtu means unamfanya mteja mjinga kununua hio bidhaa

Pili, una ukoloni sana mzee umekutana na kijana humble mpaka mkafikishana huko in my day life huwezi nihoji maswali kiwaki naona hio ungeishia swali la kwanza tu na kupiga kimya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakukutana na aliye vurugwaa mbna angesanda mwenyewee.
 
Wamasai wanapitisha sana mikongo kitaa[emoji16][emoji16][emoji16] utasikia "hero me nakupa wewe dawa ya kuongeza ngufu" me nawaambiaga hapana masai nitakuja kuua watoto wa watu sasa hapa tu situmii hiyo ila wanalia je nikiongeza na hiyo? basi anacheeeka "haya basi nikupe ya mufuto"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Back
Top Bottom