Leo Iddi au kesho?

Leo Iddi au kesho?

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Jana kuna Jumbe mbili zinatembea mitandaoni, ujumbe wa mapema unasema mwezi haujaonekana wa pili ambao mi nliupata sa4+ ni video clip inayosema mwezi umeonekana.

So nauliza niendelee kufunga 30 au nianze kujiandaa kwenda Msikiti wa Gadafi nikaswali swala ya Ijumaa?

Nawasilisha.
NB: kazini SIENDI hata mkisema leo sio IDDI!!
 
Hawa wazee wa kobazi wa hapa Bongo wanachezewa sana inabidi waamke
Ft2eK1GWYAIbwKM.jpeg
 
Back
Top Bottom