EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Jana kuna Jumbe mbili zinatembea mitandaoni, ujumbe wa mapema unasema mwezi haujaonekana wa pili ambao mi nliupata sa4+ ni video clip inayosema mwezi umeonekana.
So nauliza niendelee kufunga 30 au nianze kujiandaa kwenda Msikiti wa Gadafi nikaswali swala ya Ijumaa?
Nawasilisha.
NB: kazini SIENDI hata mkisema leo sio IDDI!!
So nauliza niendelee kufunga 30 au nianze kujiandaa kwenda Msikiti wa Gadafi nikaswali swala ya Ijumaa?
Nawasilisha.
NB: kazini SIENDI hata mkisema leo sio IDDI!!