EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Domo balaaa!Hawa wazee wa kobazi wa hapa Bongo wanachezewa sana inabidi waamkeView attachment 2594755
Kama Wasunn ni leo naungana nao nyie wengine swalini keshoMitaa niliyopo nasikia wanaswali , sasa sijui wamejiongeza au la.
Ndio wapi?Karib Dondwe
Dada una uhakika leo ni Iddi?Tilifuturu jana kwa mara ya mwisho
mbele ya MvutiKama Wasunn ni leo naungana nao nyie wengine swalini kesho
Ndio wapi?
J3 bossi asiniulize kwanini leo sijaenda job kumbe swala zinafanyika, leo nahamia kwa.WasuniMufti katangaza eid ni jumamosi
Lakini hapa nilipo watu wanaswali wale eid,kwahiyo hapo mkuu akili kichwani mwako!
Acha dharau aisee😡😡😡Hawa wazee wa kobazi wa hapa Bongo wanachezewa sana inabidi waamkeView attachment 2594755
Asante mkuu maana hata bossi wangu mwislam tumeuliza kwenye grup kakaa kimyaImeachwa kila mtu aamue anavyo ona inafaa,amua
🤣🤣🤣🤣Baada ya kuona huko inacheleweshwa. Nimechomoka Butiama jana leo nipo Uganda kusheherekea Eid
💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼Eid ni leo
Mkoa gani?mbele ya Mvuti
mkoa wa Dar mzeeMkoa gani?