babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 14,478 Reaction score 18,341 Apr 21, 2023 #41 Wavaa kobazi hawajui hata sikuku yao lini. Elimu jamani halafu nyie ni kula pilau tu na soda iwe leo au kesho mnaweza pia mkasherekea siku mbili kuna zambi gani. Uvivu mpk kujipangia ratiba Kuleni leo pilau kesho biriani ubishi unaisha.
Wavaa kobazi hawajui hata sikuku yao lini. Elimu jamani halafu nyie ni kula pilau tu na soda iwe leo au kesho mnaweza pia mkasherekea siku mbili kuna zambi gani. Uvivu mpk kujipangia ratiba Kuleni leo pilau kesho biriani ubishi unaisha.
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 10,644 Reaction score 32,375 Apr 21, 2023 #42 Kilimbatzz said: Na Bora mfungulie hiyo kesho Ili bei ya kitimoto ipande na biashara ichanganye mjini Click to expand... Pumbafu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kilimbatzz said: Na Bora mfungulie hiyo kesho Ili bei ya kitimoto ipande na biashara ichanganye mjini Click to expand... Pumbafu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
princess ariana JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 9,245 Reaction score 18,347 Apr 21, 2023 #43 Huku waswali Sunni wanakinukisha mpaka nawaonea shia huruma πππ saa hii kumetaradadi msikitini huko
Huku waswali Sunni wanakinukisha mpaka nawaonea shia huruma πππ saa hii kumetaradadi msikitini huko
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Apr 22, 2023 #44 Kesho...