babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Wavaa kobazi hawajui
hata sikuku yao lini.
Elimu jamani halafu nyie ni kula pilau tu na soda iwe leo au kesho mnaweza pia mkasherekea siku mbili kuna zambi gani.
Uvivu mpk kujipangia ratiba
Kuleni leo pilau kesho biriani ubishi unaisha.