johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Niwashukuru members Wote kwa changamoto mbalimbali tunazovumiliana maana bila JF hakuna wa kuiambia Serikali Ukweli
JF ni Jukwaa pekee ambalo kama unajitambua unaweza kuisaidia Nchi au Jamii Yako kupitia Majukwaa mbalimbali
Usisahau Watu Wote muhimu wa Nchi hii katika Nyanja zote wamo humu
Niwashukuru sana rafiki zangu Mzee Mgaya, Mchungaji Erasto, Ras Mtimanyongo na Dr Akandunduma
Kipekee Kabisa ni kwako Bwashee Retired ukiwa Ufipa st lakini kwa sasa unapalilia Jimbo Machame 😂
Mungu wa mbinguni awabariki Nyote, amen
Mlale Unono 😄😄