Leo imetimia miaka 10 tangu Johnthebaptist Niwe Mwanachama wa Jamii Forums, Ukipunguza Makasiriko utaipenda JF na Utadumu nayo!

Niwashukuru members Wote kwa changamoto mbalimbali tunazovumiliana maana bila JF hakuna wa kuiambia Serikali Ukweli

JF ni Jukwaa pekee ambalo kama unajitambua unaweza kuisaidia Nchi au Jamii Yako kupitia Majukwaa mbalimbali

Usisahau Watu Wote muhimu wa Nchi hii katika Nyanja zote wamo humu

Niwashukuru sana rafiki zangu Mzee Mgaya, Mchungaji Erasto, Ras Mtimanyongo na Dr Akandunduma

Kipekee Kabisa ni kwako Bwashee Retired ukiwa Ufipa st lakini kwa sasa unapalilia Jimbo Machame 😂

Mungu wa mbinguni awabariki Nyote, amen

Mlale Unono 😄😄
Kumbe ni "mkongwe"😃

Hongera! 2014 ndiyo nilipata taarifa ya uwepo wa JF, nikawa naingia kama msomaji tu mpaka mwaka Jana nilipoamua kujiunga.
 
Niwashukuru members Wote kwa changamoto mbalimbali tunazovumiliana maana bila JF hakuna wa kuiambia Serikali Ukweli

JF ni Jukwaa pekee ambalo kama unajitambua unaweza kuisaidia Nchi au Jamii Yako kupitia Majukwaa mbalimbali

Usisahau Watu Wote muhimu wa Nchi hii katika Nyanja zote wamo humu

Niwashukuru sana rafiki zangu Mzee Mgaya, Mchungaji Erasto, Ras Mtimanyongo na Dr Akandunduma

Kipekee Kabisa ni kwako Bwashee Retired ukiwa Ufipa st lakini kwa sasa unapalilia Jimbo Machame 😂

Mungu wa mbinguni awabariki Nyote, amen

Mlale Unono 😄😄
🙏
 
Hongera sana tulijiunga mwaka mmoja, Alhamdulilah tunadunda mpaka Leo...
 
Niwashukuru members Wote kwa changamoto mbalimbali tunazovumiliana maana bila JF hakuna wa kuiambia Serikali Ukweli

JF ni Jukwaa pekee ambalo kama unajitambua unaweza kuisaidia Nchi au Jamii Yako kupitia Majukwaa mbalimbali

Usisahau Watu Wote muhimu wa Nchi hii katika Nyanja zote wamo humu

Niwashukuru sana rafiki zangu Mzee Mgaya, Mchungaji Erasto, Ras Mtimanyongo na Dr Akandunduma

Kipekee Kabisa ni kwako Bwashee Retired ukiwa Ufipa st lakini kwa sasa unapalilia Jimbo Machame 😂

Mungu wa mbinguni awabariki Nyote, amen

Mlale Unono 😄😄
John the Baptist pambalu😊😊😅😅

Happy 10 years anniversary to you🖖
 
Back
Top Bottom