johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Anajifanya kuvua gamba kama nyoka.ππIle ID yako nyingine ni kongwe zaidi ya miaka 10 ππ
Hongera na Asante sana MkuuNiwashukuru members Wote kwa changamoto mbalimbali tunazovumiliana maana bila JF hakuna wa kuiambia Serikali Ukweli
JF ni Jukwaa pekee ambalo kama unajitambua unaweza kuisaidia Nchi au Jamii Yako kupitia Majukwaa mbalimbali
Usisahau Watu Wote muhimu wa Nchi hii katika Nyanja zote wamo humu
Niwashukuru sana rafiki zangu Mzee Mgaya, Mchungaji Erasto, Ras Mtimanyongo na Dr Akandunduma
Kipekee Kabisa ni kwako Bwashee Retired ukiwa Ufipa st lakini kwa sasa unapalilia Jimbo Machame π
Mungu wa mbinguni awabariki Nyote, amen
Mlale Unono ππ
Hongera sana brother from another motherNiwashukuru members Wote kwa changamoto mbalimbali tunazovumiliana maana bila JF hakuna wa kuiambia Serikali Ukweli
JF ni Jukwaa pekee ambalo kama unajitambua unaweza kuisaidia Nchi au Jamii Yako kupitia Majukwaa mbalimbali
Usisahau Watu Wote muhimu wa Nchi hii katika Nyanja zote wamo humu
Niwashukuru sana rafiki zangu Mzee Mgaya, Mchungaji Erasto, Ras Mtimanyongo na Dr Akandunduma
Kipekee Kabisa ni kwako Bwashee Retired ukiwa Ufipa st lakini kwa sasa unapalilia Jimbo Machame π
Mungu wa mbinguni awabariki Nyote, amen
Mlale Unono ππ
ππ€£Me toka 2015 tuko pamoja muda sio mrefu na post picha yangu na na mawasiliano siogopi kama makonda tu
Ongera.Niwashukuru members Wote kwa changamoto mbalimbali tunazovumiliana maana bila JF hakuna wa kuiambia Serikali Ukweli
JF ni Jukwaa pekee ambalo kama unajitambua unaweza kuisaidia Nchi au Jamii Yako kupitia Majukwaa mbalimbali
Usisahau Watu Wote muhimu wa Nchi hii katika Nyanja zote wamo humu
Niwashukuru sana rafiki zangu Mzee Mgaya, Mchungaji Erasto, Ras Mtimanyongo na Dr Akandunduma
Kipekee Kabisa ni kwako Bwashee Retired ukiwa Ufipa st lakini kwa sasa unapalilia Jimbo Machame π
Mungu wa mbinguni awabariki Nyote, amen
Mlale Unono ππ
Leo ni ulanzi tu Hapy birthday YusufuNiwashukuru members Wote kwa changamoto mbalimbali tunazovumiliana maana bila JF hakuna wa kuiambia Serikali Ukweli
JF ni Jukwaa pekee ambalo kama unajitambua unaweza kuisaidia Nchi au Jamii Yako kupitia Majukwaa mbalimbali
Usisahau Watu Wote muhimu wa Nchi hii katika Nyanja zote wamo humu
Niwashukuru sana rafiki zangu Mzee Mgaya, Mchungaji Erasto, Ras Mtimanyongo na Dr Akandunduma
Kipekee Kabisa ni kwako Bwashee Retired ukiwa Ufipa st lakini kwa sasa unapalilia Jimbo Machame π
Mungu wa mbinguni awabariki Nyote, amen
Mlale Unono ππ
Poa poa Mstaafu Joπ .Ungekuwa unapanda juu ya meza ningekukaribisha tugonge GilasiπNiwashukuru members Wote kwa changamoto mbalimbali tunazovumiliana maana bila JF hakuna wa kuiambia Serikali Ukweli