Leo inaitwa "Super Sunday"

Azam unawaonaje, mbona hapo hujawalist
 
CAF na Karia wana hujuma na Yanga,kwanini mechi ya kwanza wameweka ya Simba saa kumi jioni alafu Yanga yetu saa tatu usiku?,huku ni kupanga matokeo.Yanga tukifungwa na Al hilal Simba nao wakishinda tunaenda kumuona Rais,Yanga tunaonewa na kunyanyaswa sana.

Mungu mbariki mzee Mpili na Mandonga[emoji120]
 
Azam FC ni ya kukamilisha Ratiba .... Ndio maana sijaitaja kwenye list

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sio kweli. Hapo ni usimba na uyanga tu ndio umekuongoza. Matokeo hayo hayo ya Azam Ila ingekuwa simba au yanga hiyo mechi ungeitaja...anyway Azam ana % kubwa ya kupindua meza kuliko uto , Kwa hiyo itakuwa mechi nzuri tu.
 
Umesahau Leeds vs Arsenal.

10:00 jioni.
 
Acha kujidhalilisha. Hata wenzako wakisoma hiki ulichoandika hapa, watakudharau na kukuona wewe ni bumunda, au tikiti maji.
 
Nawaonea huruma Xavi na klopp leo vibarua vyao vitaota mbawa.

Van daik leo atapelekeshwa na Halaand.
 
PSG v/s Marseille saa 3:45
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…