Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

Hata usipotumia vPN bado utapigwa tu middle finger kupitia android pp nyingine uwekazo kwenye simu yako
 
Mkuu vipi kwa maoni yako ni sahihi kuendelea kutumia hizi vpn?
Inategemea unatumia kwa nini mkuu, kama unaangalia movies, sijui unadownload game na vitu vyengine vya kawaida hakuna risk

Ila kama unafanya mambo serious ya kiofisi ama hata binafsi kama kulipa vitu online, ku acess documents muhimu etc vyema achana nayo.
 
ukiwapa watu vitonga hakichelewi kufungiwa hii trick haitadumu.watu tuna miaka 2 hatujui kuweka vochaaa issue ni usiri .watz wengi ndio wamenyimwa usiri
Yani huyu jamaa amekuja kuharibu kila kitu. Sahivi post yale ipo front page kwenye trending.
 
Mkuu habari , naomba kukuulizia. Settings za HA. Tunnell plus VPN ili ifanye kazi , kwa voda inakuwaje mkuu tiririka

Thanks on advance!!!!!
 
Mkuu habari , naomba kukuulizia. Settings za HA. Tunnell plus VPN ili ifanye kazi , kwa voda inakuwaje mkuu tiririka

Thanks on advance!!!!!
Ahaa kama ipo ya Voda itakuwa ni exclusive Asee hawatakuja kuiweka hapa yaani ni mwendo wa kulamba Asali kwa ncha ya kisu
 
ukiwapa watu vitonga hakichelewi kufungiwa hii trick haitadumu.watu tuna miaka 2 hatujui kuweka vochaaa issue ni usiri .watz wengi ndio wamenyimwa usiri
Wewe tafuta hiyo trick ule peke yako ila kama ni jasho la Kanjubai akaamua kushare na wengine why wewe ubane?
Mimi nilikuwa na roho ya choyo kama yako hapo kabla but unafaidika na nini wakati wenzio wanakamuliwa na ISP kila kukicha?
 

ivi kwa watu wa IOS inaweza fanya kazi??
 
Shikamoo Jamiiforums
Shikamoo wewe kaka uliyetoa elimu ya hii kitu leo nimeinjoi kutwa... ingawa ilivyofika usiku naambiwa server is full
 
Mwenye Application ya Kudetect Wifi ambayo ina Unlock Password anisaidie Jamaan Uuwiii....
 
Kwani na nyie Watu wa Usalama ( SSIT ) Siku hizi hampewi tena Hela ya Kununua Mabando ya Internet ili muwe mnakesha Mitandaoni Kukusanya Tasrifa Nyeti ili mkazifanyie Kazi?
Kitu ambacho sijaelewa kwamba hii VPN unapewa MB 200 per day ukitumia zikiisha ndo basi au ni Kila siku mb 200
 
Nakubaliana na wewe mkuu Ila kwa kuongozea iko hivi muda mwingine haijalishi hata ukitumia VPN mtu anaweza kukutrack itategemea na aina ya VPN unayotumia iwapo utatumia VPN ambayo Ina save logs unapatikan vizuri Tena bila shida hii elimu ya VPN watu wengi hawaifahamu inabidi waielimishwe Mara nyingi unakuta kwa hizi VPN za Google playstore na app store ....!

Naimalizia kwa kusema elimu ya security awareness Ni ndogo San hasa kwa nchi kam zetu hata kwenye ma bank yanalizwa sema tu hayatangazi Wana weakness zao Ni benki 5 tu kwa hapa tz hizi ziko poa sanaa kwa mtizamo wangu Mimi hata ukiangalia structure ya security zao wanatumia kam approch ya zero trust....!

Uwe na siku njema mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…