Leo Jumapili nipo kwa mchungaji mtata, Askofu Gwajima nahudhuria misa takatifu

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,417
Reaction score
6,149
Leo nmeamua kuja kusali hapa ubungo chai bora kwa askofu asiye teteleka na kelele za wamasiasa nataka nimuone live stay tuned ntawapasha yatakayo jili
0f4735f84e2e07059096d70e6ea56bb0.jpg
7635fe90e305294aed63cc966f4ece55.jpg
saivi nmwendo wa kwaya nmemwona na Mshana jr
 
....sasa ww umeenda kikaz au umeenda kusali au umeenda kukusanya habar ili utuleteee habari humu??
 
Leo nmeamua kuja kusali hapa ubungo chai bora kwa askofu asiye teteleka na kelele za wamasiasa nataka nimuone live stay tuned ntawapasha yatakayo jili
0f4735f84e2e07059096d70e6ea56bb0.jpg
7635fe90e305294aed63cc966f4ece55.jpg
saivi nmwendo wa kwaya nmemwona na Mshana jr
Hiyo cyo misa takatifu mkuu
 
Hivi unafahamu maana ya Misa Takatifu...???

Huko hakuna misa Takatifu kuna concert za muziki na kupiga kelele
 
Sie leo tupo kwa Kakobe.Tumekuja kufanya ibada na kufatilia tuhumu zinazomsibu Askofu Kakobe kuhusu kufanya ubadhirifu wa bilioni 14 za sadaka.
 
Akianza kuhubiri mpige picha utuletee walau clip ndogo tuu ya mahubiri
 
Back
Top Bottom