Leo Jumapili tarehe 13.06.2021 karibuni Mnadani Kibamba Chama

Leo Jumapili tarehe 13.06.2021 karibuni Mnadani Kibamba Chama

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Wakuu tukutane Kibamba chama kuna mnada wa nyama ya Mbuzi na Kondoo [emoji238][emoji231][emoji207][emoji238][emoji238]

Ntawapa Updates.

Tokeni na Familia zenu[emoji1285][emoji1293][emoji2026][emoji2025][emoji2022][emoji2034]

financial services haya toka na mdau wako
Mshana Jr achana na Loliondo na wale ma[emoji1657][emoji1657][emoji1657] wako njoo mjini[emoji39][emoji39]


Updates

Mambo ni super [emoji851]View attachment 1816952View attachment 1816954View attachment 1816955
 
Na imani leo ni jumapili na si jumamosi kama ulivyoandika.

Bei ya mbuzi kwa wastani huko mnadani ina range wapi boss.
Asante mkuu nimeamka na wenge la jana
20210613_000626.jpg
 
Maelekezo chama sehemu gani mkuu? Kama natokea mbezi
Ukitoka Mbezi ukavuka daraja Chini baada ya Kibamba kwa Mangi, kuna kituo kinaitwa Chama upande wa kulia kama unatoka Mbezi


Kituoni utaona maraja la Juu la kwenda Mloganzila Hospital
 
[emoji23][emoji23][emoji23] seriously naupokea mwaliko kwa mikono miwili nitakuja na mai wangu
 
Back
Top Bottom