EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
- #41
[emoji851][emoji851]Mh,we ntakuwa nakufahamu,nimekaa hapo karibu na hicho kiwanja cha mpira karibu miaka 5...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji851][emoji851]Mh,we ntakuwa nakufahamu,nimekaa hapo karibu na hicho kiwanja cha mpira karibu miaka 5...
Umefika wapi mkuuNdio nashuka Kimara mwendokasi napanda ngazi za daraja.
😂😂😂 mkuu wewe🙌Kama ni kula nyama, kunywa bia lkn pa kujipumzisha na kutomasana hakuna, KULENI TU. siji
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ulipo nipo.
Sunday. Inakosa maana.[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu wewe[emoji119]
Dah😂😂 jpili ya leo twende tukale nyama tu mkuuSunday. Inakosa maana.
Au nasema uongo?
Nendeni tu.Dah[emoji23][emoji23] jpili ya leo twende tukale nyama tu mkuu
2000 kila biaAkikujibu naomba unitag mkuu
Mkuu weka bei ya mbuzi i.e portion or kilo inauzwaje?2000 kila bia
Kuna Panama na Highway guestKama ni kula nyama, kunywa bia lkn pa kujipumzisha na kutomasana hakuna, KULENI TU. siji
Portion ni kuanzia mbavu paja mguu wa.mbele na kila kituMkuu weka bei ya mbuzi i.e portion or kilo inauzwaje?
Sasa kula na kulana . Ngoja niwashe locationKuna Panama na Highway guest
Mbavu 14000Mkuu weka bei ya mbuzi i.e portion or kilo inauzwaje?
Njoo.mkuuSasa kula na kulana . Ngoja niwashe location
[emoji41][emoji41][emoji41]Nendeni tu.
Inahitajika mtu ashibe vyote
Karibu mamaaDah[emoji23][emoji23] jpili ya leo twende tukale nyama tu mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41][emoji41]
financial servicesMbavu 14000
Paja 15000
Mguu wa.mbele 10000
[emoji35][emoji35][emoji35][emoji34][emoji34][emoji34]