Leo Jumapili tarehe 13.06.2021 karibuni Mnadani Kibamba Chama

Leo Jumapili tarehe 13.06.2021 karibuni Mnadani Kibamba Chama

Wakuu tukutane Kibamba chama kuna mnada wa nyama ya Mbuzi na Kondoo [emoji238][emoji231][emoji207][emoji238][emoji238]

Ntawapa Updates.

Tokeni na Familia zenu[emoji1285][emoji1293][emoji2026][emoji2025][emoji2022][emoji2034]

financial services haya toka na mdau wako
Mshana Jr achana na Loliondo na wale ma[emoji1657][emoji1657][emoji1657] wako njoo mjini[emoji39][emoji39]


Updates

Mambo ni super [emoji851]View attachment 1816952View attachment 1816954View attachment 1816955
Uwe unasema mapema mimi ni mzee wa loiliondo kila jmosi
 
Mkuu huwa wanafungua kuanzia saa ngapi?Asubuhi huwa kunapatikana supu?Kisusio kipo?
Asubuhi saa3 mambo tayari kisusio kinapatikana asubuhi maana watu hunywa supu asubuhi. Ni kila jumapili na jumatano
 
Back
Top Bottom